Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Umenena vyema kabisaUlitaka ijengwe wapi ambako usingehoji?
Dodoma ni katikati ya nchi so ni rahisi kwa vichaa kutoka sehemu mbalimbali za nchi kupafikia. Fikiria unasafirisha kichaa wako kutoka Bukoba au Musoma mpaka Dar au Songea. Mbali mno!
Wakoloni [donor kantri] walifanya tafiti kwa makabila yote, wakaja na conclusion kwamba ...ndio wanatakiwa kutibiwa akili.Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.
Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Dooh! Itakuwa na wewe mgonjwa wa akili sio Bure....!Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.
Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Best comment everKwa sababu wabunge wengi ni mandezi 😆
Asilimia kubwa ya vichaa wanatokea Singida .Zamani pale lilikuwa ilipo lilikuwa jimbo la kati likijus8sha mikoa ya Dodoma na singida .Baada ya mkoloni kuona vichaa wengi wako eneo hilo ndipo hospitali ikajengwa hapo.Wateja wakubwa wa hiyo hospitali ni kutoka SingidaSababu kubwa British colonial administration waliona pale ndio central part ya Tanganyika, hivo ni rahisi kufikisha kila mwenye tatizo pale kuliko eneo lolote. Kiufupi dodoma was central part of tanganyika.
Na iliitwa mirembe kumaanisha eneo lisilo na disturbance na uwepo wa conflict yyte, eneo salama
Kumbe Singinda wengi wao ni .....😄Asilimia kubwa ya vichaa wanatokea Singida .Zamani pale lilikuwa ilipo lilikuwa jimbo la kati likijus8sha mikoa ya Dodoma na singida .Baada ya mkoloni kuona vichaa wengi wako eneo hilo ndipo hospitali ikajengwa hapo.Wateja wakubwa wa hiyo hospitali ni kutoka Singida
Kwa nini Hospital zingine(JKCI, ORCI, MOI, KIBONG'OTO) hazikujengwa Dodoma?Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.
Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sababu wabunge wengi ni mandezi [emoji38]
Kwa sababu pa kunyongea watu mi hapo hapo....sasa wanajiridhisha kama akili yako ipo mutreeb kabla ya kulamba kitanzi,,,,,halafu ni kati katika kati kum nchi ,Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.
Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Kuna Benjamin Mkapa. Moja ya hospitali kubwa NchiniKwa nini Hospital zingine(JKCI, ORCI, MOI, KIBONG'OTO) hazikujengwa Dodoma?