Hivi kwa nini Hospitali ya Mirembe waliiweka Dodoma?

swali lako linavinasaba vya utovu wa nidhamu
Nchi hii ina Watu wajinga sana. Hata kujiridhisha huduma gani zinazotolewa Mirembe.

Kwanza Mirembe si hospitali ya vichaa (kwanza neno lenyewe ni udhalilishaji.

Pili Mirembe ni hospitali ya magonjwa ya afya ya akili. Hata Watu wenye msongo wa mawazo matatizo ya Kisaikolojia wanaweza kupata huduma hapo. Tumeshasikia karibia mikoa yote Watu wakijinyonga au kuuua. Hawa wote wangeweza kupata msaada wa kimatibabu hapo Mirembe na wakapona.

Halafu Mirembe pia hutoa huduma za matibabu kama hospitali nyingine, ikiwemo huduma za Ctc.
 
Hii zamani, zamani gani? Na unachosema kimetokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…