Watanganyika wenzako kina Lucas Mwashambwa ChoiceVariable kipara kipya chiembe FaizaFoxy etal watakushambulia ajabu!Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu ( ambao most likely ana unasaba nao). CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WJHILE ZANZIBAR REMAINS INTACT! sasa tumeamua Tumenyamaza. bdilo suluhisho kweli kunyamaza?
Nini kifanyike? ,
Ni ukweli, wacha waje, ni akili ndogo wanadhani wajukuuu zao watakuta nchi kweli if this is to be the trendWatanganyika wenzako kina Lucas Mwashambwa ChoiceVariable kipara kipya chiembe FaizaFoxy etal watakushambulia ajabu!
Na wewe uza Zanzibar Yao au na wewe mfanyie kizimkaziTumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu ( ambao most likely ana unasaba nao). CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS INTACT! sasa tumeamua Tumenyamaza. Hilo suluhisho kweli kunyamaza?
Nini kifanyike? ,
Akili zako hizoNa wewe uza Zanzibar Yao au na wewe mfanyie kizimkazi
Na zako unazitumia kulialia kama chura badala ukaiuze Zanzibar ๐๐๐Akili zako hizo
Nyie hamjauza Kilimanjaro?๐ผTumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu.
CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS INTACT!
Sasa tumeamua tumenyamaza. Hilo suluhisho kweli kunyamaza?
Nini kifanyike?
Nawengine wako michenzani wanasuka nywele watalii, shida iko wapi?Mbona Wamasai wa Chalinze hawapokonywi ardhi yao?
5. Magufuli Nyumba za serikaliLife time commission
1. Kikwete gesi
2. Samia bandari hifadhi.
3. Mwinyi loliondo?
4. Mkapa?
Kila anayepita na kibangala chake
cha kufanya kwanza ni kuwaondoa wabunge wa COVID-19 mjengoni ๐Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu.
CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS INTACT!
Sasa tumeamua tumenyamaza. Hilo suluhisho kweli kunyamaza?
Nini kifanyike?
We fala kweli Wazaramo waliondolewa au waliondoka wao Kwa nguvu za soko! Yaani utetezi mwingine unawadhalilisha walio ktuma.Ardhi ni mali ya umma, sasa wazaramo wangekataa kuondoka kariakoo na posta, Dar ingekuwaje? Taratibu za nchi zinasema walipwe fidia (fair compensation at market value) hawa wanalipwa fidia, na nyumba wanajengewa.
Kama hawajui jinsi ya kuhamisha mizimu, waje DM