brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox??
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara lakini nakosa majibu kwa kuwa hata mimi miaka fulani ya nyuma kipindi najifunza huu mchezo kwa ajili ya ulinzi wangu binafsi nilitokea kukubalika na walimu tangu siku ya kwanza waliponijua mimi ni south paw
Mfano wa mabondia ambao ni south paws ni hawa
huyu ni manny pacquao
huyu ni marvin hagrel
Mfano wa orthodox ni hawa
huyu ni floyd mayweathear (unbeaten man)
huyu floyd na Marcus Maidana (el chino)