Hivi kwa nini southpaws ni bora kuliko orthodox

Hivi kwa nini southpaws ni bora kuliko orthodox

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox??

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara lakini nakosa majibu kwa kuwa hata mimi miaka fulani ya nyuma kipindi najifunza huu mchezo kwa ajili ya ulinzi wangu binafsi nilitokea kukubalika na walimu tangu siku ya kwanza waliponijua mimi ni south paw

Mfano wa mabondia ambao ni south paws ni hawa

1474191716318.jpg

1474191725555.jpg

1474191736161.jpg
huyu ni manny pacquao

1474191768930.jpg
huyu ni marvin hagrel

Mfano wa orthodox ni hawa

1474192165098.jpg

1474192173096.jpg
huyu ni floyd mayweathear (unbeaten man)

1474192209860.jpg
huyu floyd na Marcus Maidana (el chino)
 
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox??

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara lakini nakosa majibu kwa kuwa hata mimi miaka fulani ya nyuma kipindi najifunza huu mchezo kwa ajili ya ulinzi wangu binafsi nilitokea kukubalika na walimu tangu siku ya kwanza waliponijua mimi ni south paw

Mfano wa mabondia ambao ni south paws ni hawa

View attachment 402483

View attachment 402484

View attachment 402485huyu ni manny pacquao

View attachment 402486huyu ni marvin hagrel

Mfano wa orthodox ni hawa

View attachment 402490

View attachment 402491huyu ni floyd mayweathear (unbeaten man)

View attachment 402492huyu floyd na Marcus Maidana (el chino)
Me napita tu
 
Kuna tofauti gani kati ya Orthodox na South Paws
 
Orthodox wengi ni watuloivu sana, hivyo huwafanya kua makini zaidi tofauti na south paws ila linapokuja kwenye suala la nani anapambana vizuri hakika south paws mara zote huwa na athari kubwa sana kwa wapinzani wake.
Kuna mTZ mmoja anaitwa awadh tamimu huyu jamaaa sijui alipotelea wapi lakini namkubali sana
 
South paw wanawapa shida sana orthodox kwa sababu moja ya kwamba wacheza ngumi wengi ni orthodox, kwa hiyo inawapa shida orthodox kumkabili southpaw, orthodox wengi wamezoea kuzikwepa ngumi kwa upande wa kushoto, kwa hiyo wakicheza na south paw hujikuta wanaingia kwenye ngumi wenyewe wakati wa kukwepa
 
Orthodox wengi ni watuloivu sana, hivyo huwafanya kua makini zaidi tofauti na south paws ila linapokuja kwenye suala la nani anapambana vizuri hakika south paws mara zote huwa na athari kubwa sana kwa wapinzani wake.
Kuna mTZ mmoja anaitwa awadh tamimu huyu jamaaa sijui alipotelea wapi lakini namkubali sana
Yaah Awadhi Tamimu alikuwa moto sana pambano alilonifurahisha zaidi Awadh Tamimu ni siku hiyo alikuwa anapigana na mkenya alimtandika ndani ya sekunde tu mtu chali alafu enzi hizo hawa ma boxers wanaotamba sasa hivi kama vile Cheka, na Alphonce Mchumia Tumbo walikuwa hawana majina kabisa

1474272453727.jpg
huyu ndiye Awadhi Tamimu
 
Back
Top Bottom