Hivi kwa nini staff wa kiume wanaofanyia kazi bank wanashobokewa sana na totoz hapa mjini?

Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?
Unaumiza kichwa bure ndugu, totoz za nyakati hizi kwanza hizijui kukataa, haijalishi mmejuana lini na saa ngapi na wapi hasa ukiwa na ka-mark x au ka-altrza mlaku kama wewe lazma udanje. Halafu nikuulize, hivi kumega sana warembo ni sifa? Ukimega warembo mia kwa mwezi unaongezeka nini mwilini au kimaendeleo? Fikiria maisha sio Everz
 
Tumia tafsida. ?.......madeni balaaa duuuu umeua
 
Hata wadada ambao ni mabank teller pia wanashokea baadhi ya wanaume...kuna mdada mmoja bank teller sitamsahau,maana alinivunjia ndoa yangu.
 
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?

wakaka wa bank? Yaan wabahili hao sijawai ona ahaaaaaa yaan yana njaaa kama nn na vigari vyao vibaya vya mikopo yaan nikishajua banker tuu hata salam yangu hapati
 
kwa sababu wanahonga kidogo...ila sijawahi vutiwa na mtu wa bank wengi wanamadeni balaaa

yaan kinachowasaidi ni kiyoyozi 24hrs wangekuwa wamepauka mbaya. Siku nikikosa pa kwenda ntaangaika na meneja wa benk coz mara nyingi ni watu wazima. Vikka vya benk shombo tu.
 
kweli kabisa aisee ... acha tu iala wanaminato nawaangaliaga nasema mngejua mnachezea pesa yangu alafu zako ni punje .. mngeshika adabu
 
wakaka wa bank? Yaan wabahili hao sijawai ona ahaaaaaa yaan yana njaaa kama nn na vigari vyao vibaya vya mikopo yaan nikishajua banker tuu hata salam yangu hapati

Victim?!Njaa kali tangu lini akawa mbahili?
 
They hit stupids and materialistics. Somebody gotta do them too.
 
Kawaida tu. Mabinti wanapenda wanaume watanashati. Nature ya kazi za kibenk zinawalazimu kuwa watanashati. Ndio maana wanashobokewa. Mbona kuna kijana jiran yangu anafanya kazi tbs anawabadilisha kama nguo. Ni utanashati tu na huruka ya mtu.
 
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?
Kuna baadhi ya wanawake ni wajinga wanadhani mwanaume akiwa karibu na fedha za bank naye anafanania fedha fedha wananyukwa sana upo sahihi mi nina ushahidi pia.
 
Ukichanganya na u smart wa watu wa bank utatapanya bidada nyingi sana ambazo hazina ufahamu kwenye ma bichwa yao.
 
mbona sisi ma-engineer hatushobokewi?
😀😀😀😀😀
 
Ni hao wafanyakazi wenyewe wanashoboka kwa wateja. Nilikwenda DTB. Nikakuta "Bank Teller" mdada, ni mrembo hivi. Baada ya kumpa "Form" ya kutoa hela na kunipa mzigo wangu akanipa "Receipt" yangu na kikaratasi kina number ya simu yake na kandika "Call me". Jioni kweli nikampigia, tukaonana siku hiyo hiyo na nikala mzigo siku hiyo hiyo.
 
niunganishe naye mkuu
 
Cc:Mahondaw aliiona hii comment kweli
 
Mimi ni mpaka rangi kucha.. Nashobokea sana na nmewala sana wake za watu
 
Back
Top Bottom