Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Unaumiza kichwa bure ndugu, totoz za nyakati hizi kwanza hizijui kukataa, haijalishi mmejuana lini na saa ngapi na wapi hasa ukiwa na ka-mark x au ka-altrza mlaku kama wewe lazma udanje. Halafu nikuulize, hivi kumega sana warembo ni sifa? Ukimega warembo mia kwa mwezi unaongezeka nini mwilini au kimaendeleo? Fikiria maisha sio EverzJamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?