Hivi kwa nini waarabu ni walalamishi sana?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wafuga Midevu watu wa ajabu sana Oct 07,2023 walikuwa wanasherehekea sana kwa kuua watu wasio na hatia, Juzi tena alionekana Sheikh huyu akicheza mbele za maiti za watoto Ariel na Kfir familia ya Bibas sasa hivi analalamika kuwa Israel inawaua wakiwa kwenye mahema wamelala.

Walichokoza wenyewe sasa hivi Israel inajitetea wao tena wanalalamika

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…