Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Katika mambo ambayo huwa sipendi na naelewa sana usiende kuomba msaada kwa nini yeye amefikia hapa.
Ni wachache sana watakao kupa ufikie labda sio biashara zinazo fanana.
Miaka ya nyuma sana kuna jamaa alikuwa anatuambia kwenda china lazima uwe na milioni 50 ila tulipokuja kugundua sababu tunafanya biashara moja na kuogopa.
Watu wengi kwenye ushindani wa biashara wamekuwa waoga hata wachina wanaokuja hapo kariakoo wanaona sasa nguvu zao zimekwisha kuwa siri zao zimeenda kombo.