Hivi kwa nini waliofanikiwa au matajiri wanakwambia walipofikia ni hesabu magazijuto

Hivi kwa nini waliofanikiwa au matajiri wanakwambia walipofikia ni hesabu magazijuto

Matajiri ndo wanaongoza kunyonya watu na kutumia njia za panya kukwepa kodi na kupata mamikopo makubwa, mfano mcheki mo dewj viwanda vyake vibarua wanalipwa hela ya mbuzi, ata viwanda vya azam, ata ipp media yan ni sanaa ya kunyonya nguvu kazi za watu we cheki fundi mkuu wa majumba anaweza pata elf 25 had 30 kwa siku ila kibarua anaekoroga zege anaondoka na elf 7.
 
Back
Top Bottom