Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

Kuna pisi moja "short cheses" iliniamisha mtaa na kufanya nibadili laini kabisa.. Anajua kusumbua kwa kwer.. Mpaka mapenzi yanageuka kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…