ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kunata na beat![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi tumekubaliana...kuwa ukikutana na bamiaz yenye pesa na urefu wake utafurahia pesa na urefu, ukikutana na shotie mwenye baraka za maungoni hutawaza urefu wala pesa.Liwalo na liwe ni mwendo wa kunata na beat tu[emoji16][emoji16]