Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

Moja ya vituko ambavyo havipendezi ni pale mwanaume anapokua mfupi na demu ni mrefu zaid yake alaf wanatembea kwa miguu yan inakua full kituko
We kama ni mwanaume mfupi bas tafuta kistuli zaidi yako inapendeza zaidi mwanaume awe mrefu kuliko demu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kwa hali hiyo wasitembee na miguu wapande gari?
 
Back
Top Bottom