Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kipindi cha adolf alianza kuwatenganisha watu na wayahudi.
Kipindi cha idd amin alianza kudili na wasio kabira lake.
Kipindi cha mugabe alianza kuwafukuza wakulima wa kizungu.
Kipindi cha bashiri sudani alianza kuwatenga wasudani weusi.
Je hapa kama uraisi 2025 kaupata mnategemea ile historia kuwa mpaka znz hupo ubungo yani dar na maeneo yake yapo ndani ya znz.