shushushu_mchokozi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 405
- 265
Hawa watu hawafai kabisaMtu anakuwa mmbea
* ili kufitinisha watu wasipatane na kuelewana mambo yaharibike
* ili uweze kupata taarifa kwa undani, unasema umbea ili upate umbea zaidi
Kila kona hawa hawakosekani wanachefua sanaPole kwa yaliyokukuta....Tatizo uswahilini...
Unajua maana ya shushushu ni mtu mmbea mmbea[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hawa watu hawafai kabisa
Hahahahaaaaa jina tu hiloUnajua maana ya shushushu ni mtu mmbea mmbea[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
KigezoNa wewe unaonekana mbeya
Hawakufai wewe. Usitujumuishe wote huku!Hawa watu hawafai kabisa
Haaaaa!Kwa sababu ni wanyakyusa kwi kwi kwiiiiii
Kuna mwingine hauvumiliki ni shida tuUmbea una raha yake atiii
Du! Nadhani hujaelewa WW nimemaanisha nini ?Hawakufai wewe. Usitujumuishe wote huku!