HIVI KWA NINI WATU WANAKUWA WAMBEYA .

HIVI KWA NINI WATU WANAKUWA WAMBEYA .

shushushu_mchokozi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
405
Reaction score
265
Habari za leo wapendwa ,mimi leo nimeona nilete hapa dukuduku hili kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema

Watu wamekuwa na majungu tu kila kukicha wao ni kusema tu watu na mbaya zaid wanadiliki hata kwenda kwa mtu kuongea vitu visivyo na ukweli na kuleta matatizo

Hivi hawa watu dawa yao ni nini ?
 
Mtu anakuwa mmbea
* ili kufitinisha watu wasipatane na kuelewana mambo yaharibike
* ili uweze kupata taarifa kwa undani, unasema umbea ili upate umbea zaidi
 
mti wenye matunda haushi kupigwa mawe...pengine mafanikio yako yanawakera sana wanatamani kufika hapo ulipofika ila wanashindwa ndio maana maneno huwa haya ishi but chamsingi ni kukaza kamba za viatu na kuendelea na safari huku masikioni ukiziba tena kwa pamba nzito...
 
Back
Top Bottom