Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa ushauri wakomti wenye matunda haushi kupigwa mawe...pengine mafanikio yako yanawakera sana wanatamani kufika hapo ulipofika ila wanashindwa ndio maana maneno huwa haya ishi but chamsingi ni kukaza kamba za viatu na kuendelea na safari huku masikioni ukiziba tena kwa pamba nzito...
Ila wanazidisha sasa mtu usipite kosaKama wambea hao ni akina dada basi kawaida maana umbea ni suna teh teh