HIVI KWA NINI WATU WANAKUWA WAMBEYA .

HIVI KWA NINI WATU WANAKUWA WAMBEYA .

Kama wambea hao ni akina dada basi kawaida maana umbea ni suna teh teh
 
mti wenye matunda haushi kupigwa mawe...pengine mafanikio yako yanawakera sana wanatamani kufika hapo ulipofika ila wanashindwa ndio maana maneno huwa haya ishi but chamsingi ni kukaza kamba za viatu na kuendelea na safari huku masikioni ukiziba tena kwa pamba nzito...
Asante sana kwa ushauri wako
Na kikubwa kinacho waumiza ni kuona cna taim na mtu mie maisha yanasonga hapo ndipo wanapoanza midomo
 
Back
Top Bottom