Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili.
Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana yani kama ushirikina,masonic na wahalifu ndio wamejaa.
Kuna siku nilipita bar fulani X aisee yani mashoga ndio wanaongoza kuchangamsha bar kuliko kitu chengine.