Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Iwe kwa alie kwenye ndoa, uchumba au mahusiano ya kimapenzi?
na, kwanini hakuna anae kataa?
Achana na wanaojiuza mitaani kwenye madanguru n.k, nazungumzia ambao hawako kwenye biashara hiyo ya ngono.
Ni nini kimebadilika na kuchochea urahisi huo kuelekea kunyanduana? Yaani siku hiyo hiyo mnaonana for the fisrst time, na siku hiyohiyo mnakubaliana na mnakwenda kunyanduana.
Kwanini hawasumbui tena nyakati hizi ukilinganisha na hapo nyuma kidogo?
Mungu Ibariki Tanzania