Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani.
Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi zinauzwa wapi usikie SOLD OUT.......
All in all Simba tumefanya kazi yetu....mashabiki walitoka wapi siyo issue. Chamsingi tumefika lengo lakumsumbua mtani..........
Chakujifunza ni kwamba walionunua tiketi awakuingia uwanjani ila wasio na tiketi wameingia....tumeingiza kiasi gani hiyo siyo big deal chamsingi tumevuka salama.
Sold out