DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Dar salama
Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03. Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti kisa Mfupi.
Kuhusu hela anayo sema ndo hivyo mpaka wale mademu wetu wa Bei rahis wa sisi Graduate na wenyewe wamekuwa wakimwachia Manyoya. Kiukweli Hapa Daslama( Dream city) to get a woman it just hard they are looking both sides out-look and money.
Cha Ajabu sisi warefu Futi 06 tumeamua kutulia , Bado tunausoma mchezo nje ya uwanja Bado .