DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee..Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Daslama
Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03
Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti kisa Mfupi .
Kuhusu hela anayo sema ndo hivyo mpaka wale mademu wetu wa Bei rahis wa sisi Graduate na wenyewe wamekuwa wakimwachia Manyoya.
Kiukweli Hapa Daslama( Dream city) to get a woman it just hard they are looking both sides out-look and money.
Cha Ajabu sisi warefu Futi 06 tumeamua kutulia , Bado tunausoma mchezo nje ya uwanja Bado .
Kama kuna mtu ana mashine ya kufikia urefu wa futi 3, basi ajitengenezee mwanamke wa kutomb pekeake😄.Aisee..
Unaongelea ufupi wa mwili au mashine?
😂😂Kama kuna mtu ana mashine ya kufikia urefu wa futi 3, basi ajitengenezee mwanamke wa kutomb pekeake😄.
Bila shaka jamaa anazungumzia kimo cha mwili.
Aiseeh😄😂😂
Chezea hawa madogo..
Anaweza kukuambia futi kumbe anamaanisha inch
Kama ndivyo atafute tu mbilikimo mwenzie, kesi kwisha, anajilia mzigo vizuri tuu😊Ft3? Mhhh
Huyo si mbilikimo sasa
Mkimshindwa mumlete hapa Gasuma simiyu.Mlete huku Kwa Msisi Tanga tumpe dawa ya kumrefusha mpaka kufikia futi tano ndani ya wiki mbili tu. Gharama zetu ni nafuu sana, na pia tiba zetu ni uhakika kwa 100%
Nilikuwa hapo machimboni, na Dutwa namba moja na namba mbili, ila nilitoka baada ya machimbo kudolola.Mkimshindwa mumlete hapa Gasuma simiyu.
Hmmmh mkuu kwani una futi ngapi?Kiukweli ufupi shida,aisee nakumbuka way back form 4 nilitongoza darasa zima wanawake wote walinikataa,ikabidi nyeto itake over.Ni mpaka mwanamke mmoja alitokea kunielewa na kunionea huruma ndo huyo nipo nae kanizalia katoto.
Your day will come kila mwanadamu ameumbwa kwa mfano wake.Kikubwa jikubali tafuta pesa za kutosha Enjoy life mkuu.
Wewe naye?Hmmmh mkuu kwani una futi ngapi?
Nataka nijue kimo chake kinachofanya aone kuwa hata kumpata huyo ni mwanamke aliyenaye ni kwasbabu alimhurimia.Wewe naye?
Futi ngapi ya nini tena?
Futi 3 mzeeya huyo sii mbilikimoWakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Daslama