Hivi kwa sisi ambao ni wafupi, futi 03 tunaweza pata Mwanamke mrefu akatuelewa?

Unapungukiwa Nini ukijatambulisha kuwa ni wewe ndio mwenye hicho kimo, kuliko kumsingizia rafiki Yako?

Utashindwa kupata ushauri sahihi
 
Duh akubaliane tu na hali asee ..au atongoze vi first year huko
 
Duh akubaliane tu na hali asee ..au atongoze vi first year huko
Kumkuta first year mwenye futi 3 ni kazi sana aiseeh, kwa hicho kimo mwanafunzi anakuwa la tano huko au formone.
 
Kila mbuz na ale urefu wa kamba yake, waft 3 ale waft 3 mwenzie.

Ww mbuz wataka kula majani ayalayo twiga.........
 
Ulishanunua Kitanda na Godoro used kijana mwenye Degree Moja??tuanzie hapo kwanza
 
Nimeanza kukutilia mashaka mwenye hicho kimo si rafiki yako ni wewe mkuu sema ukweli upate ushauri utakao kusaidia
 
Huyo jamaa mfupi anae-Dampiwa ni wewe, usisingizie rafiki zako
 
Dah pole saana mkuu kwa kimo icho si dhani kama utapata mke ila Mimi sio Mungu maybe tunaweza kusema upati cha ajabu Mungu anakupa amisa mobeto

Na ushhauri wangu kwako tu wabure kwasababu kwa macho yetu ya ubinadamu kupata mke kwa kimo icho it's impossible
Tafuta pesa au ushirikana yaani dawa za mapenzi

Ila wewe sio mtukufu Kweli Yule Jamaa mcheza comedy Nina mashaka Na wewe
 
Mbona una maneno makali ivy Mimi na mtoa mada hatujajiumba hivi ujue
S kwa ubaya jaman, nmeongea kwa wema. Sema tu maneno yangu yamekufikia kwa ukali 😊😊😊.

Me mwenyewe n kashotiii sema n vle n wakike, lkn nngekuwa wakiume saa hii ningekuwa naanzsha nyuzi za kuhitaj miongozooo.
 
Pole yake
 
Pole yako 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…