Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

Mafwele alikuwa anatekeleza majukumu Boni mvunjiwa yai alikuwa anatekeleza nini ,alitumwa na jamhuri


USSR
Wewe ni mjinga! Sheria ipi inampa majukumu Mafwele ya kuteka na kuuwa watu?
Nyie ndo mmejazana CCM kufanya kazi za Uchawa huku vichwa vyenu vikiwa tupu kabisa!
Mnatutia aibu sana ndani ya CCM!
 
Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around!

Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni!

Nimekubali kwamba ni kweli umekomaa na uliandaliwa vizuri ndani ya CCM kupitia UVCCM!

Hayati Mkapa aliona kitu kwako ndo maana alipendekeza ukaongeze elimu!

Ni dhahiri UVCCM yako haikuwa kama hii UVCCM ya Uchawa ya akina Kawaida!

Reasoning yako iko juu sana na sidhani kama utadumu hapo kwenye Ukatibu Mkuu wa CCM!

Mfano, uliposema " Sisi si matofali lazima tutofautieni " na huo ndo msingi wa maendeleo na uko tayari kumsikiliza vizuri unayetofautiana naye na uko tayari pia kumfuata kama ana hoja nzuri kuliko yako!
Wakati wa victory speech ya Barack Obama 2008 kuna sehemu aliseme hivi; " Americans I will always listen to you, especially when we disagree" ! Hao ndo great minds na siyo hawa wetu wa kutwa kuwasikiliza machawa wasifiaji tu!

Tuseme ukweli ,reasoning hiyo kwa CCM yetu hii ya MACHAWA ni nadra sana kuipata!

Turudi kwenye hoja, Kuna Clip iko mitandaoni Sativa ( Muhanga wa Utekaji na Mauaji) anamtaja kabisa ACP Faustine Mafwele kama mtu aliyemteka na kutaka kumuua!! Jeshi la Polisi , Viongozi wa Serikali kimya !!!

Je, utendaji wa Mafwele ndo standard ya utendaji wa Jeshi la Polisi?!

Badala yake Polisi kwa mbwembwe wanakimbilia kumkamata na kumpekua Boni Yai!

Kweli CCM tumekubali kuendeshwa na watu wenye maarifa na upeo wa chini kiasi hiki!?

Rais Samia unadanganywa na zero brains , soon utaona jinsi approval rating yako miongoni mwa Watanzania itakavyokuwa chini kuliko Rais yeyote aliyewahi kupitia hapa JMT!

Kwa rafiki yangu Profesa Kitila Mkumbo , wanachofanya Polisi ni kumjenga Boni Yai , atachukua Jimbo la Ubungo asubuhi na mapema kabla ya misa ya kwanza comes 2025, kuwa macho ( "be eyes")!
Bon yai anastahili kufuatwa na vifaru!
 
Mleta maada umenena vyema sio kila mtu anaweza kuwa raisi lakini shida sio raisi ni chama chenu..mmekubali kuwatumikia matajiri kuliko wananchii ndo maana una waswasi kuwa nchimbi ataondolewa ofisini.kwa hiyo shida ya Tanzania sio sa100 ni CCM na magenge yake cha msingi samia angejitoa akapumzika 2025 kuliko kuvuna laana.
 
Back
Top Bottom