Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

Mafwele alikuwa anatekeleza majukumu Boni mvunjiwa yai alikuwa anatekeleza nini ,alitumwa na jamhuri


USSR
Wewe ni mjinga! Sheria ipi inampa majukumu Mafwele ya kuteka na kuuwa watu?
Nyie ndo mmejazana CCM kufanya kazi za Uchawa huku vichwa vyenu vikiwa tupu kabisa!
Mnatutia aibu sana ndani ya CCM!
 
Bon yai anastahili kufuatwa na vifaru!
 
Mleta maada umenena vyema sio kila mtu anaweza kuwa raisi lakini shida sio raisi ni chama chenu..mmekubali kuwatumikia matajiri kuliko wananchii ndo maana una waswasi kuwa nchimbi ataondolewa ofisini.kwa hiyo shida ya Tanzania sio sa100 ni CCM na magenge yake cha msingi samia angejitoa akapumzika 2025 kuliko kuvuna laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…