goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Tz hi mbankuna watu walipata mafanikowa wakiwa na 56 wengi tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ulivyovitasja hapa ndio unapotea kabisa msikini wengi ndio wana apply huo upuuzi kwenye mafanikioHata 70 unaweza:
- Bidii
- Uaminifu
- Sala
[emoji3][emoji3][emoji3]Vipi gari je lipo? Au ndo ushakua mwana israeli? Mambo ya kutembea miaka 40+ kwa miguu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mbona wanaocheza kamari wananangwa?Maisha ni kamari
Basi hao ni wana wa israel...🤣🤣🤣Duh mkuu mbona wengi tu wana umri huo na zaidi wanatembea kwa miguu?
Shukuru Mungu wewe unaweza kutembea huku umekaa. Wengine ndoto hizo hatujafikia.Basi hao ni wana wa israel...🤣🤣🤣
Hata yule Mangi aliepiga 1.2b wanamnanga?Sasa mbona wanaocheza kamari wananangwa?
Maisha yenyewe jackpot tu!!
Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Ni ukweli kabisa, chukulia mtu bado huna chanzo cha kipato cha uhakika, muda huo tayari una watoto wanne, basi upo uwezekano mkubwa wa kubaki kwenye cycle ileile ya chini.Vijana jitahidini msizae watoto wengi kabla hamjatoboa, mtapata tabu sana. Kama unapenda sana watoto na mambo bado hayajakaa vizuri jitihadi usizidishe wawili.
Na akafa ndani ya miaka 9,Babu wa Loliondo alitoboa akiwa na zaidi ya miaka 60 hofu unatoa wapi jombaa mwisho ushindwe kula Mbususu??
Acha hizo aiseee )))
hivi ulivyovitasja hapa ndio unapotea kabisa msikini wengi ndio wana apply huo upuuzi kwenye mafanikio
Husikii wakisema taifa linaangamia? Vijana wanatupia jackpot kila siku..Hata yule Mangi aliepiga 1.2b wanamnanga?
vingine ni connection,smartness,sacrifice,chance,lucky,protection(health,harzadous,accedant) etcHalafu ujasema hivyo vingine