Nini mkeo..!!! Utatongoza mama yako mzaziHumu ukikaa vibaya utatongoza mpaka mkeo
Kwamba ajiandae na kizinga cha sikukuu?Daby sikukuu jumapili mkuu..ππ
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume nyie mna guts sio za nchi hii mjue, kuzama pm kwa lengo la mtongozo hapo huna hata uhakika kama unaemfata ni jike ama dume hahaa mna tabu sana.Nini mkeo..!!! Utatongoza mama yako mzazi
Eti ee [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanajeshi Haogopi Vita Mkuu.
Sijasema hivyo..πKwamba ajiandae na kizinga cha sikukuu?
Bila guts yaani tungeishia nyetoni tu.. Unalianzisha ukiona linapinda unasepa...[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume nyie mna guts sio za nchi hii mjue, kuzama pm kwa lengo la mtongozo hapo huna hata uhakika kama unaemfata ni jike ama dume hahaa mna tabu sana.
Ni swali nimeuliza, wala hujasema kiongozi.. We nijibu tu..Sijasema hivyo..π
π π π π π π π πNini mkeo..!!! Utatongoza mama yako mzazi
π π π π huku watu wanapenda miandiko[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume nyie mna guts sio za nchi hii mjue, kuzama pm kwa lengo la mtongozo hapo huna hata uhakika kama unaemfata ni jike ama dume hahaa mna tabu sana.
Wamama wenyewe hawa wenye panki wale wa Sinza..!!! Yaani acha tu..π π π π π π π π
Na avatar kama yako hiyo bonge la guu kuna watu wanachanganyikiwa huko[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huku watu wanapenda miandiko
SijuiNi swali nimeuliza, wala hujasema kiongozi.. We nijibu tu..
[emoji23][emoji23] warembo mtaani si wapo...nasemea huku mitandaon aisee inataka sana moyo kulianzisha kwa mtu hata hujui anafananaje hahaaBila guts yaani tungeishia nyetoni tu.. Unalianzisha ukiona linapinda unasepa...
Wapo sawa, lakini ni kutesti zali tu...!!! Mfano wewe na hiyo avartar yako, moyo wangu unaanzaje kutulia?[emoji23][emoji23] warembo mtaani si wapo...nasemea huku mitandaon aisee inataka sana moyo kulianzisha kwa mtu hata hujui anafananaje hahaa
Ona sasa [emoji1787] sifanani hata robo na huyo bibie shauri zakoWapo sawa, lakini ni kutesti zali tu...!!! Mfano wewe na hiyo avartar yako, moyo wangu unaanzaje kutulia?