Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume nyie mna guts sio za nchi hii mjue, kuzama pm kwa lengo la mtongozo hapo huna hata uhakika kama unaemfata ni jike ama dume hahaa mna tabu sana.
Bila guts yaani tungeishia nyetoni tu.. Unalianzisha ukiona linapinda unasepa...
 
Nimechekama sana kwa furaha kuona thread yako Daby .. kumbe ukimya wako miaka yotwe.. ulikuwa kwa mapenzi.. Pole sana.. watakushauri.. karibu tena kutupa mkasa muzima..
 
[emoji23][emoji23] warembo mtaani si wapo...nasemea huku mitandaon aisee inataka sana moyo kulianzisha kwa mtu hata hujui anafananaje hahaa
Wapo sawa, lakini ni kutesti zali tu...!!! Mfano wewe na hiyo avartar yako, moyo wangu unaanzaje kutulia?
 
Back
Top Bottom