Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

Avatar ya yule jamaa wa kwenye predator
Labda wanadhani Mimi ndy yule jamaa.
Maana sijapendwa na mrembo yeyote humu.

Nasikia wenzangu wanaramba asali humu.
Ila kwangu naambulia kung'atwa na nyuki.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…