Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kadiri uwezavyo itapendeza zaidi 🐒Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Mshafunga shule?😅Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Umepona gonorea,unaanza kurudi ulipo toka, UTI sugu na kaswende hazitakuacha salama?Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Shida ya kufia kwenye kinena cha mtu ni shida ya kujitakia.Nguvu zako tu,kama huna nguvu ni Mara moja....unazo basi ni daily kiafya
🤣🤣tulia wewee🤨🥵
Ewaaaaa. Ukutane na mwanamke anajua kunyegesha ikifika mida ya kulala anabaki half naked.Kila siku ya wiki mara mbili asubuhi na jioni