Ashmine
Member
- May 6, 2023
- 29
- 78
😅😅Fungueni huduma ya maombi na maombezi
😅😅Fungueni huduma ya maombi na maombezi
Hahahaiahaaa! duh!Fungueni huduma ya maombi na maombezi
Mpaka unacheka badala ya kukasirika.Hahahaha, mitaa yangu hiyo huwa najiuliza yale mamwendokasi walioyaweka pale yard yakianza kutembea hao wapanga biashara barabarani watawapeleka wapi?
Maana njia za kupita magari ya kawaida wao wamefunga ni biashara na njia ya mwendokasi ndio ya kawaida na stendi ya magari ya kwenda Chanika na Majohe 🤣🤣🤣🤣
Aaah bora nile makali tu nilishafeli kuzaliwa huku
Kipindi cha nyuma nilitembeleaga maeneo ya kanda ya magharibi....tabora Yani mtu kajenga room mbili ya tatu ni duka nikabaki najiuliza hawa hawana critical thinking au nini
Wanategemea waganga na maji ya MwamposaNi ukosefu wa maono mwingine anaona kuna mafremu yapo hayatumiki naye anaenda kuweka frem pengine huwa wanawaza kubwa kutakuja kuchangamka siku za usoni
Baba bora twende AWAYMpaka unacheka badala ya kukasirika.
Wamejaza mchicha, maandazi, mahindi, nguo, Ndizi maziwa, supu etc
Aisee hii Nchi Nina mpango nihame tuBaba bora twende AWAY
Yani AWAY chap sana ukipata fursa kimbiaAisee hii Nchi Nina mpango nihame tu
Hili nalo nenoLakini si mmesema watu wajiajiri😂😂 watajiajiri wapi sasa kama sio kwenye uchuuzi wa bidhaa za mchina.
Mafisadi wamejenga Sana hasa Dodoma na Dar, maduka, frame na kupangishaMindset ya mbongo akipata pesa ni
Kujenga nyumba ya kupangisha bila kusahau kaframe au viframe.
Hatutaki uzalishaji kabisa nikimaanisha vinwanda vidogo kwa vikubwa, hata hawa wanasiasa mnawaona wamejaa bungeni pamoja na pesa zao nyingi za ufisadi ila wamejaza apartments Dodoma zisizohesabika.
Tubadilike.
Ila uzuri wakitoka madarakani wanakumbana na uhalisia kama biashara uliizoesha kukua kwa pesa za ufisadi na rushwa siku zikikata unabaki na majengo tu, na wengi imewakuta hii.Mafisadi wamejenga Sana hasa Dodoma na Dar, maduka, frame na kupangisha