Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Inasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga .
Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya kisomo pia kuna watu au mikoa inasifika kuwa na waganga au wachawi mashuhuri , ukizingua kidogo tu wanarusha kombola.
Sasa swali ninalojiuliza je , watu hawa wanashindwa nini kupambana na viongozi wa serikali kwa njia za kijadi kulipa visasi kwa wapendwa wao waliodhurumiwa haki ya kuishi au wao wenyewe kudhulumiwa haki zao?
Au wanashindwa vipi kushusha albadiri kwa wote waliohusika kusababisha vifo vya wapendwa wao?