Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Inasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga .
Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya kisomo pia kuna watu au mikoa inasifika kuwa na waganga au wachawi mashuhuri , ukizingua kidogo tu wanarusha kombola.
Sasa swali ninalojiuliza je , watu hawa wanashindwa nini kupambana na viongozi wa serikali kwa njia za kijadi kulipa visasi kwa wapendwa wao waliodhurumiwa haki ya kuishi au wao wenyewe kudhulumiwa haki zao?
Au wanashindwa vipi kushusha albadiri kwa wote waliohusika kusababisha vifo vya wapendwa wao?
Mchague mmoja umsomee halafu tupe mrejesho.Inasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga .
Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya kisomo pia kuna watu au mikoa inasifika kuwa na waganga au wachawi mashuhuri , ukizingua kidogo tu wanarusha kombola.
Sasa swali ninalojiuliza je , watu hawa wanashindwa nini kupambana na viongozi wa serikali kwa njia za kijadi kulipa visasi kwa wapendwa wao waliodhurumiwa haki ya kuishi au wao wenyewe kudhulumiwa haki zao?
Au wanashindwa vipi kushusha albadiri kwa wote waliohusika kusababisha vifo vya wapendwa wao?
Mtu akishakuwa kiongozi mkubwa lazima awe ameshawaita wachawi wote wakubwa na kuwalambisha asali ili wawe walinzi wa anga la utawala wake pande zote za Dunia likirushwa kombora la asili wanapanguaInasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga .
Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya kisomo pia kuna watu au mikoa inasifika kuwa na waganga au wachawi mashuhuri , ukizingua kidogo tu wanarusha kombola.
Sasa swali ninalojiuliza je , watu hawa wanashindwa nini kupambana na viongozi wa serikali kwa njia za kijadi kulipa visasi kwa wapendwa wao waliodhurumiwa haki ya kuishi au wao wenyewe kudhulumiwa haki zao?
Au wanashindwa vipi kushusha albadiri kwa wote waliohusika kusababisha vifo vya wapendwa wao?
Nakupinga kwa hoja kuu mbili.Mtu akishakuwa kiongozi mkubwa lazima awe ameshawaita wachawi wote wakubwa na kuwalambisha asali ili wawe walinzi wa anga la utawala wake pande zote za Dunia likirushwa kombora la asili wanapangua
ππππππππMtu anatoa kafara la watu elfu kumi huo uchawi unampataje,ana kinga ya damu zaidi ya elfu moja
Wewe ni muumini wa dini yoyote?Kiufupi hakuna uchawi
Imethibitika hakuna uchawi na wote wanaouamini wana UWEZO mdogo
Nakupinga kwa hoja kuu mbili.
1) Je na Mungu naye analambishwa asali ?
2)Kama anawataalamu wote konki kwa nini wasimpe dawa ya mvuto akubalike na wananchi?