The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kwahiyo atatengwa na Chama cha CHADEMA?Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Ninashauri awaachie Hilo jimbo au ajiunge nao. Ili Wananchi wafurahie mfumo wa chama kimoja Kama wait ndivyo walivyotaka. Ila Hadi 2025 watanzania ninawaonea huruma Sana kwenye huo mfumo wa chama kimoja.Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Kwanini Boss?Kessy ana mkosi gani?
Huu mkosi mkubwaKwanini Boss?
Mkuu ule uliofanyika ulikua uchaguzi na mshindi lazima atangazwe. Sasa katangazwa Aidah kashinda dhidi ya Kess wa CCM, kumyima haki yake ya kufanya kazi kuwakilisha wananchi kupitia alichokua anapigania siyo sahihi.Ninashauri awaachie Hilo jimbo au ajiunge nao. Ili Wananchi wafurahie mfumo wa chama kimoja Kama wait ndivyo walivyotaka. Ila Hadi 2025 watanzania ninawaonea huruma Sana kwrnye huo mfumo wa chama kimoja.
Yule Mama kashinda sababu ule ulikua uchaguzi au haukua uchaguzi?Kujiudhuru kutaonesha hayupo kimaslahi. Mtu mwenye akiki timamu hawezi furahia kwenda bungeni wakat wenzake wamefanyiwa michezo michafu
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Umefikiri sahihi.Atulie apige mpunga ni uboya kuachia kiti wakati katumia pesa kibao kupiga kampeni. Mwisho wa siku ndio ajira yake hiyo ya uhakika kwa miaka 5. Hawezi kupewa chakula na chama chake kwa miaka hiyo mitano. Sana muonea wivu tu.
Msimamizi alisema Ameshinda.Ameshinda ama amepewa?
Kuna dalili huenda akatengwa kwa jinsi trend inavyoenda, mwishowe ataunga juhudiWananchi wamempigia KURA, aende akawawakilishe, mbunge ni wa wananchi sio wa chama. Akisusa atakuwa kawasusia wapiga Kura wake