Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Wananchi wamempigia KURA, aende akawawakilishe, mbunge ni wa wananchi sio wa chama. Akisusa atakuwa kawasusia wapiga Kura wake
Mbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
 
Huu mkosi mkubwa
Wenzio wamepitishwa bila kupingwa..
Wengine polisi wameingiza masanduku mradi wapite...

Sasa inakuaje chama kisimsaidie na yeye??
Bosheni hiyo mkuu shtuka. Mama kapitushwa tu. Simjui lkn utakuta ni dhaifu flani, kufunuka kombe
Japo mratibu wa hizo mambo nae kakosea. Alitakiwa apige bosheni kama 10 hivi kuwafariji upinzani.

NB: Hawa Ghasia ndio kaangushwa sio. Huyu wamemuadhibu wenyewe kwa kiherehere chake kutetea koroshow
 
Atulie apige mpunga ni uboya kuachia kiti wakati katumia pesa kibao kupiga kampeni. Mwisho wa siku ndio ajira yake hiyo ya uhakika kwa miaka 5. Hawezi kupewa chakula na chama chake kwa miaka hiyo mitano. Sana muonea wivu tu.
Kwani wengine hawakutumia hela.? ni bora tu ahamie CCM ili aendelee na ubunge bila pressure
 
Wakuu Salaam:

Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.

Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.

Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia.

Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Ni wivu tu kwanini aache au kwa kuwa wakubwa zake hawajapita?
 
Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
Siyo rahisi hivyo.

Bunge la juzi tu umeona jinsi waliounga juhudi Job Ndugai alisimamia kidete ticket ya ubunge isipotee.

Mbowe hata amfute huyo mama uanachama, bado atatetewa na ubunge wake utabaki halali na ndiyo njia ya kuunga juhudi.
 
Hata ningekuwa mm siwezi kuacha ubunge
 
Kukubali kuwa kashinda kihalali ni kumaanisha wenzie wameshindwa kihalali.
Nakumbuka 2017 Woman MP wa Nairobi alishinda kwa zaidi ya 70% ila Odinga alidai ameibiwa kura.

Sasa yule Dada aliyapinga matokeo yake kuwa nayo hayatambui sababu angeshangilia ina maana Odinga naye alishindwa kihalali.

Maadam wenzio wameonewa lazima uonyeshe solidarity!!
Watoto wake utawalipia ada shule
 
Siyo rahisi hivyo.

Bunge la juzi tu umeona jinsi waliounga juhudi Job Ndugai alisimamia kidete ticket ya ubunge isipotee.

Mbowe hata amfute huyo mama uanachama, bado atatetewa na ubunge wake utabaki halali na ndiyo njia ya kuunga juhudi.
My point is sheria ndio inasema hivyo otherwise akimbilie mahakamani ili awe mbunge pending maamuzi ya mahakama.

Tz hatuna mgombea binafsi, so akitumbuliwa ndio kwishaaa unless Tulia avuruge kanuni
 
Back
Top Bottom