Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
Naunga hojaAwaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga hojaAwaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Malaika anampa kazi nyingineKessy ana mkosi gani?
Solidarity kwenye hela wewe kiazi kweliKukubali kuwa kashinda kihalali ni kumaanisha wenzie wameshindwa kihalali.
Nakumbuka 2017 Woman MP wa Nairobi alishinda kwa zaidi ya 70% ila Odinga alidai ameibiwa kura.
Sasa yule Dada aliyapinga matokeo yake kuwa nayo hayatambui sababu angeshangilia ina maana Odinga naye alishindwa kihalali.
Maadam wenzio wameonewa lazima uonyeshe solidarity!!
Mkuu unajua ni fedha kiasi gani kwa mwezi anapokea kama mshahara?Sasa atakuwa na raha gani wenzake wote wanalia yeye peke yake anafurahia?na je anaamini wenzake wote Tanzania nzima wameshindwa kihalali kama sivyo aungane na wenzake kushinikiza watawala kutopoka tena haki ya wananchi ya kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbele ya million 300 sa kustaafu ,wewe ungeachia ?Acheni ujinga.Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Kwani kuna mtu hayuko kimasilahi hata TLS yuko kimaslahiKujiudhuru kutaonesha hayupo kimaslahi. Mtu mwenye akiki timamu hawezi furahia kwenda bungeni wakat wenzake wamefanyiwa michezo michafu
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Huyo atakuwa "Gunzi" tu, hawezi ku connect na betri.Kuna dalili huenda akatengwa kwa jinsi trend inavyoenda, mwishowe ataunga juhudi
Chadema wanatabia ya kujitoa fahamu[emoji3]Atulie apige mpunga ni uboya kuachia kiti wakati katumia pesa kibao kupiga kampeni. Mwisho wa siku ndio ajira yake hiyo ya uhakika kwa miaka 5. Hawezi kupewa chakula na chama chake kwa miaka hiyo mitano. Sana muonea wivu tu.
Akili za udongo. Huyeyuka kwa tone la maji. Hizo box ziliingilia huku mtandaoni. Acheni utopolo bana. Tuijenge nchi yetu tuachane na porojo.Huu mkosi mkubwa
Wenzio wamepitishwa bila kupingwa..
Wengine polisi wameingiza masanduku mradi wapite...
Sasa inakuaje chama kisimsaidie na yeye??
Kwani huyu Aidah ni mweupe au mweusi??😅Ubunge aendelee nao maana at the end politics is business like other business, tunamuonea tu huruma jimbo lake litakosa connection ya kupata maendeleo.JPM voice
Wamwache mama wa watu akapewe vx yake ushamba ni mzingoUmefikiri sahihi.
Chuki zikianzia kwa CHADEMA juu ya Aidah kua anaenda bungeni wakat wenzake hawajatendewa haki itakua ujinga, acha akafanye kazi yake kwa miaka 5.
Arudi nyumbani kumenogaKuna dalili huenda akatengwa kwa jinsi trend inavyoenda, mwishowe ataunga juhudi
Anaunga,juhudi tuMbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
Kila anayelalamika kuhusu kushindwa ni kwamba anaona kapoteza Fedha nyingi sana kwa miaka 5 kama posho na mishahara na wanajua jinsi zilivyo tamu achilia kiinua mgongo.Mbele ya million 300 sa kustaafu ,wewe ungeachia ?Acheni ujinga.
angezipiga za mwanzoni mkopo ajiengue....afidie gharama na uchovu awaachie msala...wanainchi tudai maendeleo kama yapo sasa...bunge litakuwa kikao cha sisiem nani atamfokea magufuli au seikali yaani wacha wakapate shida wabunge wa ccm hawawezi kufanya chochote zaidi ya kumsifia magufuli...hii inchi inaenda utumwani...MTAJIJUA WENYEWE MI NIMEJITOAKama mwanaharakati ajiengue tu, ili CCM wasipate kisingizio cha kushindwa kupeleka maendeleo nkasi sababu wamechagua mpinzani