Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Alichofanyiwa Kessy ni vile vile kwa Ghasia,kuna kitu kibaya walimfanyia mungu mtu.Kessy ana mkosi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichofanyiwa Kessy ni vile vile kwa Ghasia,kuna kitu kibaya walimfanyia mungu mtu.Kessy ana mkosi gani?
Mkuu habar za hapo Australia?..MTAJIJUA WENYEWE MI NIMEJITOA
Chadema wanafki,waligomea serikali za mitaa maana wakubwa hawakuwa walengwa,ila uchaguzi mkuu kina Mbowe walishindwa kususia wakajua watashinda,kumbe JPM wa serikali za mitaa ni huyu huyu wa uchaguzi mkuu.Kila anayelalamika kuhusu kushindwa ni kwamba anaona kapoteza Fedha nyingi sana kwa miaka 5 kama posho na mishahara na wanajua jinsi zilivyo tamu achilia kiinua mgongo.
Maisha yaendeleee
Hapa ndo tunakwenda jua wazalendo wa kweli na wakamata fursa. Bila ruzuku hali itakuwa mbaya kweli kweli.Aunge juhudi tu kwa chama kubwa
Maana hicho kikosi cha Mbowe hakina jipya tena
Kitabaki na wachache saana
Naona wazi kabisa wengi wataunga juhudi kwa jins JPM atavyoeguza nchi na kuwa SUPER POWER EAST AFRICA na kuwa ULAYA YA EAST AFRICA😂😂😂
KIFO CHA WENGI NI HARUSI KWANZA HAO WANAINCHI WANA MSHANGAO NA kuduwazwa...shujaa arudishe sime kwenye kundi la mbuzi kwa vyovyote tu lazima ukubaliane nao au ujitenge naoHajatumwa na wenzake Diba ametumwa na wananchi. Akijiuzulu atakua amevunja mkataba na hatawatendea haki aliowaahidi kuwatumikia miaka5
Kuna hoja ulitoa kwamba Mbunge ni muwakilishi wa wananchi so hawajibiki kwa chama.Umfute uanachama kwa kosa gani?
Atatengwa na Mbowe maana anakuwa ndio mbunge pekee wa kupeleka mshahara wake kwa Mbowe na akigoma atafukuzwa chama. Mwaka huu HAKUNA Cha viti maalum na Joyce sijui atapewa nafasi gani pale ufipa.Kuna dalili huenda akatengwa kwa jinsi trend inavyoenda, mwishowe ataunga juhudi
Jibu ni moja tu. WAPUMBAVUWakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Kwani ubunge wa viti maalum si alipewa akiwa kapuku kabisa hakuna anayemfahamu kwenye ulimwengu wa siasa.Solidarity kwenye hela wewe kiazi kweli
Tulieni dawa iwaingie mtasema yoteKwani ubunge wa viti maalum si alipewa akiwa kapuku kabisa hakuna anayemfahamu kwenye ulimwengu wa siasa.
Leo hii ndio azione pesa ni muhimu kuliko waliompa ubunge wa ''zawadi'' miaka 5 iliyopita?
Huyo dada ni lazima ajiuzulu otherwise amehalalisha upuuzi wote uliofanyika jana.
Nadhani kuna wabunge wawili watatu kutoka pemba ACT.Huyu au mwenzake ndio atakuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Atatakiwa awe na mawaziri vivuli. Atatakiwa atoe majibu ya Upinzani kila Bajeti ikiwasilishwa. Atatakiwa awe mjumbe wa kamati nyingi tu akiwakilisha upinzani. Hapo bado kuwakilisha wananchi wa jimbo lake pamoja na chama chake Bungeni. Akiweza vyote hivyo atakuwa jembe kweli.
Amandla...
Mkuu Zitto J,Kwahiyo chama kikikutimua sababu umekaidi msimamo wa kususia matokeo then hana ujanja zaidi ya kuvuliwa ubunge ama akimbilie mahakamani ku buy time.
Chadema acheni ujinga ,MNA mambo ya ajabu sana, yaani mnataka mwenzenu , akatae ajira wakati nyie mlishajilimbikizia
Pumbaff
Michibo vipi kama Mbowe peke yake ndiyo angeshinda ubunge?Huyu akiingia bungeni tutamfuta uanachama, hivyo atapoteza ubunge wake.
Huu ni wivu wa pesa sasa, wew ungejiuzulu kisa wenzako hawajashinda ilihali Tume imeshatambua wew ndy mshindi?Huyo dada ni lazima ajiuzulu otherwise amehalalisha upuuzi wote uliofanyika jan