zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwani Mbowe ni exception? Mbona alijitoaga bunge la katiba na kuacha mamilion ndio angeshindwa sahvi?Mkuu Zitto J,
Vipi kama Mbowe ndiyo angeshinda ubunge peke yake?
Hta kule zenji Maalim alipofanyiwa figisu wale wawakilishi wote walioshinda waliachia majimbo yao kma protest bila kujali vyeo vyao. So haitokua mara ya kwanza kwa upinzani Tz kufanya hivyo.
Kumbuka jimbo moja linatosha kuuzika upinzani kwa hoja kwamba.... Kama ameshinda Nkasi kivp waibiwe Moshi? Hapo utajibu nini?
Na tegemea wataachia mengine kabla tallying haijaisha ili kuhalalisha uchaguzi.