BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkuu mimi sioni mkanganyiko wowote Mkuu. Huu uchaguzi ni BATILI na kuna ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha hilo. Boniface hakutaka awe mshindi katika uchaguzi ambao ulijaa udhalimu wa kila aina mwanzo mwisho. Na huyo dada hana furaha pamoja na kuwa kashinda. Sijui atachukua maamuzi gani baada ya kushauriana na viongozi wa Chadema, ngoja tusubiri.
Bado mkangamyiko upo Mr BAK.
Jacob kasema anashukuru katangazwa ameshindwa, sasa hii hali inamueka huyu Mama matatani bure.
View attachment 1616107
Mama aende bungeni, pamoja na kwamba vyama vipo ila kila mtu ana maisha yake na anatafuta maisha.