Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hapa kwetu wanaona kama unataka kumtanguliza, mwishowe migogoro na kupoteza mali zote kipuuzi tuAjabu kabisa. Kwa wenzetu wengine kuandika wosia siyo hiari, ni amri.
Kuandika uhusia ni jambo la mwenye mali na ni siri yake. Sasa inakuwaje umulize mtu siri yake wakati yeye hajawa tayari kuitowa hadharani. Tafuta vyako achana na akili ya kutegemea urithi utakufa masikini.Wakuu
Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
Kizazi chenye hayo mawazo kinazidi kuisha kwa hio kizazi kinachokuja kimeshaona yaliyomo yamo wataandika wenyewe bila shutti just sit back and watch.Wakuu
Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
Kama hutaki migogoro hapo baadae kataa mali za urithi.Wakuu
Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.