Mbona hata parachichi ni 1000?1000/=tshs,.inategemea pia na eneo.
Sio kweli,.Mbona hata parachichi ni 1000?
Tatizo unafikiri simu ni hayo ma accessories,sas hapa nimekaaa nimewazzaaa... nikafkirii,.. as a GEREAT THINKER... kwanini hizo ASIAN countries zisiungane.. zikatengeneza product yao ambayo ni bora kwasababu almost parts za iphone zimetoka bara hilo la ASIA.. na marekan wamefanya kuweka software maybe na assembly.. ingawa china nao wanafanya assembly ya hizo parts.. so muunganiko wao na kutengeneza brand nzuri ingesaidia kuchuana KIUCHUMI na AMERICA ambao kwa sasa wanashikilia uchumi wa DUNIA kwa namna moja au nyingine..
tunarud palepale kati ya TOYOTA NA LEXUS...
Android version hatoi tecno kaka, mali ya Google hiyoprocessor za apple huwa neat sana..... yaan ila Blackberry software yao ni mbovu kupindukia... nilikuwa nayo moja blackberry BOLD daah unaflash leo.. kesho wadudu wamerudi..
ukiangalia siku hizi TECNO wanajifanya kukopi IPHONE wakaja na ANDROID version ya LOLIPOP ni nzuri sana.. ila ni mbaya vilevile.. maana sometimes simu inajipiga FACTORY reset.. muda mwingine inajipeleka katika WIFI activation na inastack mpaka uende kuflash ktk computer.. hasa hasa hizi W3/4
Ukweli ni upi?Sio kweli,.