Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Apple lenyewe sio mia ni buku kwahiyo wategemea nini weye!
 
sas hapa nimekaaa nimewazzaaa... nikafkirii,.. as a GEREAT THINKER... kwanini hizo ASIAN countries zisiungane.. zikatengeneza product yao ambayo ni bora kwasababu almost parts za iphone zimetoka bara hilo la ASIA.. na marekan wamefanya kuweka software maybe na assembly.. ingawa china nao wanafanya assembly ya hizo parts.. so muunganiko wao na kutengeneza brand nzuri ingesaidia kuchuana KIUCHUMI na AMERICA ambao kwa sasa wanashikilia uchumi wa DUNIA kwa namna moja au nyingine..


tunarud palepale kati ya TOYOTA NA LEXUS...
Tatizo unafikiri simu ni hayo ma accessories,
Kuna kitu kina itwa Softwares/ Operating system (OP) baba

Softwares (OP) ndo inatofautisha iphone na haya matakataka mengine.
 
processor za apple huwa neat sana..... yaan ila Blackberry software yao ni mbovu kupindukia... nilikuwa nayo moja blackberry BOLD daah unaflash leo.. kesho wadudu wamerudi..

ukiangalia siku hizi TECNO wanajifanya kukopi IPHONE wakaja na ANDROID version ya LOLIPOP ni nzuri sana.. ila ni mbaya vilevile.. maana sometimes simu inajipiga FACTORY reset.. muda mwingine inajipeleka katika WIFI activation na inastack mpaka uende kuflash ktk computer.. hasa hasa hizi W3/4
Android version hatoi tecno kaka, mali ya Google hiyo
 
Back
Top Bottom