mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na akili yako kuiweka kwenye kifungashio kipya/mfuko wa rambo,lakini teuzi zote zimekupita,hata uteuzi wa leo sijasikia jina lako,endelea kupambana.Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Mkuu usitumie muda na akili nyingi kufikiria swala la Lugola,What is going on ni mkakati wa ccm na Magufuli kuhadaa wadanganyika ili ionekane kuwa ufisadi ule ni wa Lugola pekee yake ccm na Magufuli hawakuhusika? Yaani 58 years hamjawajua ccm?Nilishangaa sana nilipomuona Mwenyekiti wa Kamati ya PAC alipokuwa akitoa mashutuma kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Hon Kangi Lugola, hivi huu ni udhaifu na unafiki aliokuwa akisema CAG Assad hapo kabla.
Ninajiuliza:
- Kwa nini wametoa shutuma hizo baada ya yeye kutumbuliwa?
- Hivi ni kwanini PAC ilishindwa kabisa kumhoji Kangi wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani?
- Hivi serikali ina nguvu kuliko Bunge? Kwa maana ya kuface mtu anapokuwa nje ya serikali kwa mbwembwe na bashasha.
- Hivi ni lini wabunge wa CCM wataacha unafiki huu wa kuwaogopa mawaziri wa serikali?
Kwa kweli hili limenipa mashaka sana kama Bunge linaweza kuiwajibisha serikali au serikali imeweza kuliwajibisha Bunge.
Ninachelea kusema Bunge letu linaiogopa serikali na ni dhaifu mno kwa serikali.
NB: Wajibu mkuu wa Bunge ni kuiwajibisha serikali, kama hilo halifanyiki basi kuna walakini na bunge letu.
Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P