Hivi kwanini Bunge: "Wabunge wetu dhaifu na wanafiki hivi"

Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Pamoja na akili yako kuiweka kwenye kifungashio kipya/mfuko wa rambo,lakini teuzi zote zimekupita,hata uteuzi wa leo sijasikia jina lako,endelea kupambana.
 
Mkuu usitumie muda na akili nyingi kufikiria swala la Lugola,What is going on ni mkakati wa ccm na Magufuli kuhadaa wadanganyika ili ionekane kuwa ufisadi ule ni wa Lugola pekee yake ccm na Magufuli hawakuhusika? Yaani 58 years hamjawajua ccm?
 
Aliimba msanii mmoja wa mziki wa kizazi kipya, " kwa maneno ya mjini dege (bunge) lachakachuliwa"
 
Usitegemee lolote la maana km ccm itaendelea kua madarakani na sasa hivi wanajua watz wote hawaitaki tangu 2010 sasa rais wanaagiza jinai itendeke lazima waendelee kubaki madarakani wkt watz hawawataki.....
 
Mpaka unafikiria yale makombora ya Iran yaliyotumwa Iraq, yangepata hitilafu za kielectronic na kuelekea Dododma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…