gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Ushawahi kuona/kusikia mtoto kalamba chumvi Mkuu Zero IQ?Miaka nenda miaka Rudi nikienda Dukani nakuta bei ya Chumvi iko pale pale,
Bidhaa zingine muhimu kama vile Sukari, mafuta, Unga kila siku naona zinabadirika bei,
Leo unaweza kuta imepanda, kesho imeshuka,
Sasa kwa nini Chumvi huwa haipandi bei licha ya umuhimu wake?
CC Zero IQ