Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo?

Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
Mwamba huyu apa Konk Master

Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo

1786347525444.jpg
 
Kwa wanaomfahamu ukiondoa stress zake za hapa na pale,wanadai jamaa ana roho nzuri sana na wasanii wengi sana wamelala na kula kwake.Vilevile ni masikini jeuri mwenye misimamo akiwa na kalaki kake anaridhika.
Wasukuma kwenye uchoyo wa kula siyo wachoyo kabisa kwa hili nawapongeza sana siyo kama wazalamo kwenye msiba wanalisha watu ugali nilishangaa sana kisalawe
 
Huyu jamaa ashukuru ujio wa mitandao angekufa njaa na vile walikuwa wamempiga pini kila mahali
Kiasili jamaa anaonekana hapindishi ukimzingua anakuchana alafu anaongezea na uchafu wako wa pembeni
lazima utamchukia tuu
nimemsoma kila siku anaanza vzur joseph kusaga hili na lile alaf anastop kama vile kuna kitu kila siku huwa anataka kusema alaf anaogopa 😂
 
Bujora Kisesa,

Dudubaya alikua mtemi sana kitambo kwa tunaomjua,
Ngumi mkononi,kalala sana Jela na kwenye vituo vya Polisi,
Huyu jamaa kanyooka hua hapindishi wala haogopi,
Ni mtu mwenye msimamo,

Anawapiga vita mashoga Live hasa akisha piga kale keupe,

''You Bera woch yua Bak''
 
Wasukuma kwenye uchoyo wa kula siyo wachoyo kabisa kwa hili nawapongeza sana siyo kama wazalamo kwenye msiba wanalisha watu ugali nilishangaa sana kisalawe
Sijawahi kuona misosi msibani kwao, si huwa wanakula wafiwa tu??
 
Back
Top Bottom