Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo?

Msibani nako unachagua chakula? Unataka wali nyama🫪
Shida mkuu siyo tamaduni tulizo zoea kabisa msiba ni sherehe ukumbuke iv kwenye harusi unaweza kuwapikia watu ugali kweli na wakakuelewa kweli ndo maana misibani kuna watani wapo kuchagiza msiba ujue kwamba siyo uzuni ukutane na mtani wako alafu ndo umpikie ugali ndo utajua hujui
 
Sasa mbona misiba mingi Tanzania hii chakula kinachopikwa zaidi ni ugali mzee
 
Kuna sehemu watu hawapendi kula wali.Wanapenda kula chakula kizito/ugali.Wali wanauchukulia kama appetizer tu au kibwagizo.Halafu, gharama na upatikanaji nao huchangia upishi wake.
 
Huwa unachangia bei gani kwenye msiba?
 
Siyo kweli labda huko mikoani kwenu musoma na mara kama watapika ujue ni usiku nachozungumzia siku ile muhimu ya maziko mchana uwalishe watu ugari
We ulitaka walishwe nini au ugali kwako hujawahi kula kabisa!!!?, Uwezo wao umeishia hapo

Shiriki nao tukio lililowakutanisha uwasapoti hicho ndo kitu cha msingi,chakula unachokipenda utakula kwako, tena muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…