The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Chakula cha msibani ni kitamu kama sio msiba wa mtu wako wa karibu.Kuna msiba nilienda ile siku ya kusambaza walipika wali kisamvu na nyama! Msosi ulikua mtamu kisamvu mixer karanga weeeh
Msiishi kwa mazoea.Muenende kwa uhalisia.Ndo maana nimesema huko mikoani kwa sisi watoto wa pwani tushazoea wali waita cha mtume
Kwenye misiba saiv vidaftari vya michango vinatunzwa and kwa iyo likitokea kwa upande wako wanaenda kukagua kama ulikuwa unatoaga kwaiyo mambo ndo yapo ivyo wanasema saiv hakuna chizi msiba yan kwamba utoe kila msibaHapo vizuri! Wengine wanatia jero halafu wanataka pilau
Pro CHADEMA wanaona kama mfikisha ujumbe wao!,Ukitaka upendwe jitoe kwa wafuasi wa chadema hata ukiwa ni mwanasheria mchanga,jifanye unawatete CHADEMA mahakamani,tayari unawashika!...""In bravely and quickly turn them a ladder""--Thats what bright men do----Mwamba huyu apa Konk Master
Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo
Msiba hata ukiwa hamna kitu mkienda kwa mangi mbona mnakopesheka vzr sana baada ya maziko mnaanza kukabana kulipa deni la mangi freshKuna msiba nilienda ile siku ya kusambaza walipika wali kisamvu na nyama! Msosi ulikua mtamu kisamvu mixer karanga weeeh
Mshageuza mada imekuwa ya chakula sasa.Kuna msiba nilienda ile siku ya kusambaza walipika wali kisamvu na nyama! Msosi ulikua mtamu kisamvu mixer karanga weeeh
Ni sherehe kwenye misiba wanayosoma eulogy na sio hii ya kwetu tunayosoma historia ya marehemu. Kwenye misiba yetu watu wanalia machozi mwanzo mwisho, sherehe gani ushaona watu wanalia yowe?? Kwetu msiba ni shida, ni huzuni. Tufariji wafiwa badala ya kuwaongezea mzigo na wasiwasi kuwa wataonekanaje wakipika ugali na kabichi!!msiba ni sherehe ukumbuke
Wanaofanya hivi wengi waislamuMsiba hata ukiwa hamna kitu mkienda kwa mangi mbona mnakopesheka vzr sana baada ya maziko mnaanza kukabana kulipa deni la mangi fresh
Alisomea upadri ila ndo mambo yakidunia yakaja mbadilisha ndo maana hapindishi manenoJamaa yuko too real, siyo mnafki, ni msema kweli kichizi, interview zake YouTube zinajieleza kazipitie
Mamba, Oil chafuAlisomea upadri ila ndo mambo yakidunia yakaja mbadilisha ndo maana hapindishi maneno
ndiyo alisurvive sijakataa ila nilichokisema ni ukweli 100%Unajua kua kapigwa pini kuanzia mwaka gani?
Na hiyo mitandao imeanza mwaka gani?
Dudubaya amesurvive miaka kibao kabla hata ya ujio wa hiyo mitandao.
Unasema Ulichokisema ni ukweli 100% ? Hivi unajua maana ya 100%ndiyo alisurvive sijakataa ila nilichokisema ni ukweli 100%
nacheka kwa dharau😂😂Unasema Ulichokisema ni ukweli 100% ? Hivi unajua maana ya 100%
Ngoja nikukumbushe ulichokisema;
"Huyu jamaa ashukuru ujio wa mitandao angekufa njaa na vile walikuwa wamempiga pini kila mahali"
Ulimaanisha angekufa njaa lini? Kwahiyo wewe kusema angekufa njaa ndio 100% kweli angekufa njaa? Unajua riziki ya binadamu hua inatoka wapi? Nani aliwahi kufa njaa unayemjua wewe hapo Bongo?
Hawakubali kuvuruga 'BUDGET' zao kizembezembe!Shida ya ndugu zetu wazaramo wanamaindi sana kitu msosi anaweza pika msosi ila atasubili mpaka uage kuondoka ndo anaanza kula
Hata hapa JF ukitaka upendwe, sifu sifu TAL etcPro CHADEMA wanaona kama mfikisha ujumbe wao!,Ukitaka upendwe jitoe kwa wafuasi wa chadema hata ukiwa ni mwanasheria mchanga,jifanye unawatete CHADEMA mahakamani,tayari unawashika!...""In bravely and quickly turn them a ladder""--Thats what bright men do----
Kumbe ulikua unabishana? ndio maana umeuweka wazi hapa ujuha wako na akili zako mgando,nyie wenye lugha za dhihaka dhidi ya wengine ndio hua nawatafuta,nacheka kwa dharau😂😂
Sibishani
Baada ya kuuweka upumbavu wako wazi naona umeamua kuja na ngonjera za kujifanya eti nilitumia irony! acha kujifanya unayajua maisha ya wanaume,eti Dudubaya angekufa na njaa! na unasema kabisa kua eti una uhakika wa asilimia mia! kisa tu wewe unalishwa na mume wa Dada yako sio? wewe debe tupu acha kujifanya unayajua maisha ya wanaume utaolewa bila kulipiwa mahari.na wapumbavu mimi
Hujui kama nilitumia irony
ukiona comment yangu pita kama umeona uharo wa mlevi wa wanzuki na chimpumu
mshamba mmoja umejificha kwenye kivuli cha ujuaji