Kumbe ulikua unabishana? ndio maana umeuweka wazi hapa ujuha wako na akili zako mgando,nyie wenye lugha za dhihaka dhidi ya wengine ndio hua nawatafuta,
Baada ya kuuweka upumbavu wako wazi naona umeamua kuja na ngonjera za kujifanya eti nilitumia irony! acha kujifanya unayajua maisha ya wanaume,eti Dudubaya angekufa na njaa! na unasema kabisa kua eti una uhakika wa asilimia mia! kisa tu wewe unalishwa na mume wa Dada yako sio? wewe debe tupu acha kujifanya unayajua maisha ya wanaume utaolewa bila kulipiwa mahari.